×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kifo cha msanii Joseph Kamaru aliyekuwa maarufu wa nyimbo za Kikuyu

5th October, 2018

Wanamuziki, jamaa na marafiki wa mwendazake malenga wa miziki  ya lugha ya kikuyu joseph kamaru wanaendelea kuomboleza kifo cha mwanamuziki huyo aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 79. kamaru alifariki mwendo wa saa tatu usiku hapo jana katika hospitali ya mp shah alikokuwa akipokea matibabu kutokana na ugonjwa wa maumivu ya mifupa almaarufu kama parkinson. cecilia wakesho na taarifa zaidi.

 

 

.
RELATED VIDEOS