×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mauaji Kesses: Mwanamke amuua mwenzake

5th October, 2018

Polisi mjini eldoret wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mwanamke mmoja 

ambaye anadaiwa kuuawa kwa kudungwa  kisu na mwanamke mwenzake katika  mtaa wa chebarus eneo la kesses. Haijafahamika ni kwa nini mwanamke huyo alifanya kitendo hicho. Edgar birgen ambaye ameishi kwenye ndoa na mwendazake monicah birgen kwa zaidi ya miaka 18, anasema sasa amesalia na mzigo wa kuwalea watoto bila mama yao. sasa ombi lake ni kwa vyombo vya usalama kutegua kitendawili cha mauaji ya mkewe na kumkabili mhusika kisheria.

 

 

.
RELATED VIDEOS