×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Huduma za afya Kisii: Mchango wa wahudumu wa kujitolea

5th October, 2018

Utoaji wa huduma za afya humu nchini unazidi kukumbwa na changamoto hasa maeneo ya mashinani. lakini wahudumu wa afya wa kujitolea wanabadili taswira hii katika kaunti ya kisii. wamekuwa sehemu muhimu sana ya utoaji wa huduma mpaka serikali ya kaunti hiyo inanuia kuupitisha mswada utakao idhinisha huduma zao. Mkurugenzi wa afya katika kaunti ya kisii Geoffrey otomu amesema kuwa huduma zazimepunguza vifo za watoto wachanga kwa asilimia 27.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS