3rd October, 2018
Maafisa wa polisi mjini Kisii wamepata takribani shilingi milioni thelathini na nane ambazo ni ghushi na kuwakamata washukiwa watatu wanaohusika na biashara hiyo. OCPD wa Japheth Mwirichia aliongoza msako huo uliwajumuisha maafisa wa CID.