×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya taifa ya Kenya ya mchezo wa magongo yajiandaa kushiriki katika michuano ya kimataifa

1st October, 2018

Timu ya taifa ya Kenya kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18; mchezo wa magongo inazidi kunoa makali yake ikijiandaa kushiriki katika michuano ya olimpiki itakayoandaliwa nchini argentina kuanzia tarehe 6 hadi 18 oktoba . Timu hio itakua inashiriki kwa mara ya kwanza katika historia baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye michuano ya afrika iliyoandaliwa nchini algeria mapema mwaka huu.

.
RELATED VIDEOS