1st October, 2018
Kocha wa Young Talent Academy Hamisi Mohamed amechaguliwa kuwanaia nafasi ya kupata mafunzo ya soka katika klabu ya Arsenal jijini London. Kocha huyo ni mkenya pekee kwenye kikundi cha waafrika sita ambao wanawania nafasi hiyo. Robinson okenye alitangamana naye na kuandaa taarifa ifuatayo.