Ojaamong ahakikishia wakaazi wa Bungoma maendeleo

KTN News Sep 26,2018


View More on KTN Leo

Gavana wa kaunti ya Busia Sospeter Ojaamong amewahakikishia wakaazi wa kaunti hiyo kuwa miradi ya  maendeleo ambayo ilikuwa imekwama sasa itaanza kutekelezwa baada ya kaunti hiyo kupokea pesa kutoka kwa serikali kuu. Ojaamong ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi alikuwa akizungumza katika kijiji cha  mayenje,eneo bunge la Matayos wakati  akikagua mradi wa ujenzi wa barabara  inayofadhiliwa na serikali ya kaunti.