.
25th September, 2018
Kumbukizi ya Wangari Maathai,miaka saba tangu afarikimwanamazingira maarufu prof. Wangari Maathai na mshindi wa tuzo ya nobel alifariki septemba 25, 2011. Leo ni maadhimisho ya kifo chake, miaka saba baadaye.