×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanaume apatikana amekufa Wangige

24th September, 2018

Wakazi wa eneo la wangige huko kabete kaunti ya kiambu asubuhi ya leo waliupata mwili wa mwanamume mmoja ukiwa bila majeraha yoyote. Wapangaji waliukuta mwili huo na kuita polisi, kikiwa kisa cha pili ndani ya majuma mawili, ambapo msichana mwenye akili taahira alibakwa na kuuawa mita chache tu kutoka eneo hilo. Mwili wa mwanamume huyo ulipelekwa katika hifadhi ya maiti ya city, hapa nairobi.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS