24th September, 2018
Vijana wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya trans?nzoia wanafaidi pakubwa kutokana na mradi wa ukulima. Mwandamizi wa mradi wa farm africa julius marete anawasaidia vijana walio na ulemavu katika ukulima ili waweze kujikimu. Mradi huo aidha unawelenga vijana alfu nne walioacha shule.