×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maandamano Turkana kuhusiana na msichana kuuawa

24th September, 2018

Wanawake huko lodwar wakiongozwa na mwakilishi wa kike kaunti ya turkana Joyce Emanikor hapo jana walifanya maandamano wakitaka kukamatwa mara moja kwa jangili mmoja aliyem'baka na kumuua msichana wa umri wa miaka saba juma lililopita. polisi wamelaumiwa kwa kujikokota katika kuwakamata washukiwa wanaotenda maovu, huku wahudumu wa bodaboda wakiwa washukiwa wakuu wanaotumiwa kutenda uhalifu katika mji huo nyakati za usiku.

 

 

.
RELATED VIDEOS