×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Dismas Ewet na Peris Cherono waibuka washindi wa mbio za Mombasa

23rd September, 2018

Dismas Ewet na Peris Cherono waliibuka washindi wa makala ya mwaka huu ya mbio za Mombasa yaliyoandaliwa katika kaunti hiyo. 

Ewek aliandikisha mda wa masaa mawili dakika 16 sekunde 52 na kushinda mbio za wanaume huku Arit Kigen akimaliza katika nafasi ya pili naye Abraham Too akachukua nafasi ya tatu. 

Katika upande wa kina dada Peris Cherono aliandikia mda wa masaa mawili  dakika 30 sekunde 44.

Alice Mogire alichukua nafasi ya pili huku Elizabeth Rumukol alichukua nafasi ya tatu.

.
RELATED VIDEOS