×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ulinzi na AFC Leopards wabanduliwa katika mashindano ya FKF Shield

23rd September, 2018

Timu ya Kariobangi Sharks ilifuzu fainali ya kombe la FKF Shield Cup baada ya kuilaza Ulinzi Stars mabao 4 1 katika mechi ya nusu fainali iliyochezewa ugani Kasarani. 

Mabao ya Sharks yalifungwa na Abuya,Shaphan Oyugi naye Eric Kapaito akafunga mawili.

Cliff kasuti alifungia Ulinzi Stars bao la kufutia machozi kunako dakika ya 90.

Kwenye nusu fainali nyingine ambayo ilichezwa hii leo SOFAPAKA iliwalaza mabingwa AFC Leopards bao 1 0 na kufuzu kwenye fainali.

Bao la SOFAPAKA lilitiwa kimyani na Ellie Asieche.

.
RELATED VIDEOS