Mahojiano kuhusu ushuru wa ziada |Afrika Mashariki

KTN News Sep 23,2018


View More on Afrika Mashariki

Wakenya watahitajika kulipa zaidi katika bidhaa tofauti na huduma mabalimbali baada ya rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada wa fedha wa 2018 na kuufanya sheria ya nchi.