×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge Alice Wahome awaomba viongozi wa Murang'a kuingilia kati mzozo wa maji katika kaunti hio

22nd September, 2018

Mbunge wa Kandara Alice Wahome amewaomba viongozi kutoka Murang'a kuingilia kati mzozo unaoshuhudiwa katika kaunti hiyo.

Ni mzozo unaohusisha usimamizi wa kampuni za maji za Murang'a na Gavana wa kaunti hiyo Mwangi wa Iria. 

Wahome alikuwa akizungumza katika hafla huko Laikipia. 

Mzozo baina ya Gavana na wasimamizi wa kampuni za maji umechangia kukosekana kwa huduma za maji, jambo lililosababisha maandano mara kadhaa mjini Murang'a.

.
RELATED VIDEOS