21st September, 2018
Jumamosi ya terehe 21 mwezi Septemba, 2013.
Japokuwa ni miaka tano baadaye, kwa wote walioponea shambulizi la kigaidi la Westgate tukio hilo lingali bichi akilini mwao.
Taifa linapoadhimisha siku hiyo mwanahabari Sycilia Wakesho amekutana na baadhi ya waliokuwa kwenye harakati za kuokoa maisha ya waathriwa na jinsi maisha yao yamebadilika na ameaandaa taarifa ifuatayo.