21st September, 2018
Wakenya watahitajika kulipa zaidi katika bidhaa tofauti na huduma mabalimbali baada ya rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada wa fedha wa 2018 na kuufanya sheria ya nchi.
Mbunge wa Nyali Mohammed Ali ni baadhi ya wageni wetu katika makala haya ya Darubini ya Siasa.