×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji Maraga azindua kifaa kitakachotoa muongozo wa kuamuliwa kwa kesi za jinai kwa wakati mfupi

21st September, 2018

Jaji mkuu David Maraga amewaongoza majaji na mahakimu katika uzinduzi wa wa kitabu cha muongozo wa kushughulikia kesi za jinai nchini maarufu criminal procedure bench book. 

Kitabu hiki kitatoa muongozo wa kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi za jinai katika muda mfupi zaidi iwezekanavyo. 

Kitabu hiki kimezinduliwa baada ya jopo kuundwa mwaka jana ili kuangalia changamoto za kushughulikia kesi za aina hii. 

Aidha kitabu hiki kitatumika kama muongozo wa mafunzo na utafiti katika maswala ya haki na sheria.

.
RELATED VIDEOS