×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Munya atoa kauli kuhusu vyumba vya wageni ili kukuza viwanda vya vijijini

21st September, 2018

Waziri wa biashara na viwanda peter munya amesema serikali kuu itakuwa nyenzo kuu katika sekta ya vyumba vya malazi kwa wageni ili kukuza viwanda vya vijijini katika kaunti tofauti tofauti kama sehemu ya ajenda kuu nne za rais uhuru kenyatta. akizungumza katika ziara ya wanabiashara, munya alisema serikali itazingatia zaidi suala la kufadhili na kusaidia sekta ya viwanda  ili kubuni nafasi za ajira nchini.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS