×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mji wa Shimalavandu | UTALIJUA JIJI

21st September, 2018

Wafungwa wa kiume wapatao 700 hapo jana walipata fursa  ya kupokea hudumu za ulimbwende kutoka kwa chuo cha hair musters college. Maafisa wa gereza hilo wakiongozwa na naibu mkuu wao benson lomeri wanasema mageuzi katika idara ya magereza imefanikisha utangamano baina ya wafungwa na wananchi jambo ambalo limerahisisha huduma zao gerezeni. Mkuu wa chuo hicho cha ulimbwende kilichoko mjini kitengelea kaunti hii ya kajiado rose nasinya anasema ilikuwa fursa nzuri kwao kuwafanya wafungwa hao wajihisi kukubalika kwenye jamii.

 

 

.
RELATED VIDEOS