.
21st September, 2018
Wakosoaji nchini tanzania wanataka kuwepo uthibiti wa wanasiasa wanaohama vyama vyao na kujiunga na vyama vingine kwa madai hama hama hiyo inadhalilisha demokrasia ya uchaguzi katika taifa hilo lenye mfumo wa vyama vingi