×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Suala Nyeti: Kisa cha Pumwani chawashangaza wengi

19th September, 2018

Ziara ya ghafla ya gavana wa Nairobi Mike Sonko katika hospitali ya Pumwani sasa inaendelea kufichua mapungufu katika kituo hicho kilicho na uwezo wa kulaza wagonjwa 415 kwa wakati mmoja. Haya yanajiri huku baadhi ya maseneta waliozuru kituo hicho wakidokeza haja ya kugeuza usimamizi wa hospitali hiyo kutoka kaunti hadi ule wa kitaifa. Kisa hiki kinajiri huku wakosoaji wa gavana wa Nairobi wakilaumu Utawala wake kwa kutozingatia utendakazi wa vituo muhimu vya afya Nairobi ikiwemo hiyo hospitali ya Pumwani. 

.
RELATED VIDEOS