×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Pikipiki ya Dominique Antoine zitakazowania taji kuu katika maonyesho ya Concour D’elegance

18th September, 2018

Huku awamu ya 48 ya maonesho ya magari ya Concour D’elegance ikikaribia, pikipiki ya Dominique Antoine itakuwa miongoni mwa pikipiki zitakazowania taji kuu katika maonyesho hayo tarehe 30 septemba.antoine aliipokea pikipiki hii kama zawadi kutoka kwa mjombake mnamo mwaka 198o na amekuwa akikusanya pikipiki za zamani, pamoja na magari na kuyakarabati. Pikipiki hii ni ya mwaka wa 1925 hivyo basi inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa kwa wapenzi wa maonyesho haya ya magari ambayo hufanyika maeneo ya jamhuri. Hadi sasa magari 70 yamejisajili kwa maonyesho haya huku pikipiki pia zikiwa na nafasi kidogo mno.

.
RELATED VIDEOS