×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashine ya CT scan yaletwa Taita

18th September, 2018

Kwa wakazi wa taita taveta, ipo afueni katika sekta ya afya baada ya serikali ya kaunti kuleta mashine ya kupima viungo vya ndani ya mwili, maarufu kama ct scan. Mashine hiyo mpya ina uwezo wa kuwahudumia wagonjwa ishirini kila siku, ikiwa na teknolojia ya kunakili na kurekodi picha kwa wiki moja. Wenyeji wamekuwa wakisafiri hadi mombasa au nairobi kutafuta huduma za mashine hiyo. Waziri wa afya kaunti ya Taita taveta daktari frank mwangemi alizungumza kuhusu hatua zilizopigwa.

.
RELATED VIDEOS