Third way alliance yatoa kauli yake juu ya ushuru wa thamani ya ziada

KTN News Sep 18,2018


View More on Leo Mashinani

Mirengo ya Jubilee na ODM kukutana katika nyakati tofauti hii leo, kujadili ushuru wa thamani ya ziada kwa bidhaa za petroli. Rais Uhuru Kenyatta akikutana na wabunge wa Jubilee, Raila Odinga akufanya kikao na wabunge wa odm