18th September, 2018
Katika taarifa za tanzia ambapo mwili wa binti wa umri wa miaka 9 aliyetekwa nyara siku kumi zilizopita umepatikana ukiwa umetupwa katika msitu wa gitoro huko meru.
mwanahabari wetu george maringa anvyoarifu mwenda zake maribel kapolon alikuwa bintiye hakimu mwanadamizi wa mahakama ya githongo? caroline kemei. Je, kifo cha
mtoto maribel kina uhusiano wowote na kazi ya mamake?