×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi wawakamata washuhukiwa wa mauaji Mandera

17th September, 2018

Maafisa wa usalama kaunti ya mandera wamewakamata vijana wanaoshukiwa kuhusika katika mauaji ya wafanyakazi wawili wa ujenzi wa elwak siku ya alhamisi. vijana walioandamana kwa mauaji hayo walielekeza lawama kwa wasio wenyeji. Mambo yalichacha pale mmoja wa wenyeji aliuawa katika maandamano hayo. viongozi sasa wanwataka maafisa usalama kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na visa hivyo.

 

 

.
RELATED VIDEOS