×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uvamizi mpakani Isiolo

17th September, 2018

Wakazi wa mtaa wa maili tatu katika mpaka wa Isiolo na Meru wanalilia haki baada ya Uvamizi wa alfajiri ambapo nyumba tisa ziliteketezwa. walioshuhudia kisa hicho wanasema wenyeji walikimbia kwa kuogopa mlio wa risasi kutoka kwa wavamizi hao wanaokisiwa walikuwa  arobaini kwa idadi. Wanaamini sababu ya shambulizi hilo ni tamaa ya ardhi kwani hawakuiba chochote. sasa wanaitaka tume ya ardhi nchini nlc na kiongozi wa mashtaka ya umma kuchukua hatua mwafaka ili wapate haki.

 

.
RELATED VIDEOS