×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge wa Mvita Shariff Nassir pamoja na viongozi wengine wa Mombasa walaani mauaji ya kiholela

16th September, 2018

Viongozi katika kaunti ya Mombasa wamelalamikia ongezeko la magenge ya uhalifu mjini Mombasa na kutoa wito wa kufufuliwa kwa mpango wa nyumba kumi.
 
Viongozi hao kutoka kwa kamati ya amani Mombasa wakiongozwa na mbunge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir wamelaani mauaji ya kiholela katika mji wa Mombasa na kuitaka serikali kutofanya  mageuzi katika idara ya polisi kwa pupa. 

.
RELATED VIDEOS