14th September, 2018
Kwenye taarifa ya kutia moyo, frida mwaka anasimulia maisha ya bwana mmoja kwa jina simon muchude baraza, ambaye anaunda vinyago vinavyotumika ndani ya kanisa katoliki, kipawa ambacho anasema alikabidhiwa na mwenyezi mungu kwenye ndoto akiwa usingizini.