.
12th September, 2018
Gavana wa Migori Okoth Obado amezungumza na wanahabari hapa Nairobi kuhusu kesi ya mauaji ya mwanafunzi Sharon Otieno. Obado amekanusha kuhusika kwa njia yoyote ile kwa mauaji ya mwanafunzi huyo ambaye kifo chake kimewapa wakenya huzuni tele. Hebu tusikilize aliyoyasema katika mkutano huo na wanahabari.