Kuzorota kwa huduma za matibabu katika vituo vya afya kaunti ya Lamu kumewakera wenyeji
12th September, 2018
Kuzorota kwa huduma za matibabu katika vituo vya afya kaunti ya Lamu kumewakera wenyeji. Na sasa viongozi wa muhula uliopita wameanza kulaumu uongozi uliopo kwa sasa, wakisema umechangia pakubwa hali ya sasa.