Jukwaa la KTN: Uchunguzi wa kesi ya mauaji

KTN News Sep 11,2018


View More on Jukwaa la KTN

Gavana wa Kaunti ya Migori Okoth Obado, alihojiwa kwa zaidi ya saa saba katika makao makuu ya maafisa wa jinai jiijni kisumu kuhusiana na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha rongo sharon otieno. Waandishi wa habari walikita kambi nje ya makao makuu hayo na hivi sasa nawasiliana na mwanahabari kevin ogutu kutupa habari ya kilichojiri siku nzima.