Harambee stars imetwaa ushindi muhimu dhidi ya Malawi

KTN News Sep 11,2018


View More on Sports

Timu ya taifa Harambee stars imetwaa ushindi muhimu dhidi ya Malawi baada ya kuwanyuka bao moja kwa nunge katika mchuano wa kirafiki. Bao hilo la pekee lilipachikwa na francis kahata bada ya kuchongewa pasi safi na erick ouma dakika ya 77.matokeo haya ni ya kuridhisha haswa ikizingatiwa kwmaba ni hivi majuzi tuu ambapo kenya ililaza ghana 1?0 katika mchuano wa kufuzu kwa kombe la barani.ahmed abulla na taarifa zaidi kutoka moi sports center kasarani.