Wanariadha wa mbio za masafa marefu watapambana kwenye mbio za Berlin

KTN News Sep 11,2018


View More on Sports

Wanariadha wa hadhi ya juu wa mbio za masafa marefu watapambana kwenye makala ya 45 ya mbio za Berlin siku ya jumapili huku lengo kuu kwa wengi wao likiwa ni kuvunja rekodi ya dunia. Licha ya hayo kutakua pia na upinzani mkali kati  ya kampuni ambazo zinadhamini baadhi ya wanariadha hawa.