Timu ya taifa ya Harambee Stars kupambana na Malawi katika mechi ya kirafiki | KTN Leo

KTN News Sep 10,2018


View More on Sports

Timu ya taifa ya Harambee Stars imeanza mazoezi kujiandaa kupambana na malawi katika mechi ya kirafiki itakayochezewa ugani kasarani hapo kesho.stars watatumia mechi hiyo kujiandaa kupambana na ethiopia katika mechi ya kufuzu kwenye dimba la soka barani afrika itakayochezwa Oktoba.