×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kutabwali barabarani

10th September, 2018

Wafanyabiashara na watumizi wa barabara ya nairobi ? nakuru haswa eneo la kiambu sasa wanakumbwa na tatizo la ukosefu wa maji safi, ukosefu wa vyoo na pia ukosefu wa mitaro ya maji taka ni hali ambayo inawalazimisha watumizi wa barabar hiyo wakati mwingi kujisaidia ndani ya misitu iliyoko kando ya barabara. matatizo zaidi yanaibuka wakati wa mvua ambapo uchafu wote unaelekezwa mitoni na kuwa chanzo cha magonjwa. wafanyibiashara wanalalamika kuwa licha ya kuwa waaminifu katika kutoa ushuru, serikali ya kaunti haijazingatia mahitaji hayo muhimu.

 

.
RELATED VIDEOS