×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tamasha za kuenzi tamaduni za Mijikenda

10th September, 2018

Jamii ya mijikenda iliandaa tamasha za kuenzi tamaduni za jamii hiyo, hafla iliyoandaliwa katika uwanja wa karisa maitha katika kaunti ya kilifi. Gavana wa kilifi jeffer amason kingi, mbunge wa msambweni suleiman dori na mbunge wa kilifi kaskazini owen baya walikuwepo na kutangaza kuwa hawana budi ila kuzungumza kwa sauti moja kwa ajili ya siasa za mwaka wa 2022. 

 

 

.
RELATED VIDEOS