×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Sonko asema anashauriana na viongozi

9th September, 2018

Gavana wa kaunti ya nairobi ameendelea kutetea uamuzi wake wa kufanyia kazi nyumbani kwake katika kaunti ya machakos licha ya lalama za waakilishi wa wadi ambao baadhi wametishia kuwasilisha hoja ya kutimua katika bunge la kaunti hiyo. akizungumza katika sherehe ya kumbukumbu miaka mitatu tangu kifo cha babake, sonko anasema kuwa tofauti zilizopo katika bunge la kaunti zinashughulikiwa na viongozi wa kaunti ya nairobi .

 

.
RELATED VIDEOS