TEMBEA KENYA: Wakazi wa Taita Taveta wanajivunia utajiri wa historia

KTN News Sep 08,2018


View More on KTN Leo

Changamoto inapoendelea kutolewa kwa kaunti zote kukuza utalii, katika Kaunti ya Taita Taveta wakazi wanajivunia utajiri wa historia ya dini yenye umri wa miaka mia moja. Makavazi ya wray yaliyokuwa kanisa la tatu la kiangalikana kujengwa na wamisonari sasa limehifadhiwa kama makavazi maalum ambapo wakazi huzuru kujionea kando na kutoa nafasi za ajira kwa baadhi ya wakazi wa sagalla eneo la Voi.