×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mauaji Mombasa yakashifiwa na mashirika ya haki za binadamu

7th September, 2018

Mashirika ya haki za binadamu katika kaunti ya Mombasa yamelaumu vikali mauaji ya kikatili ya vijana watatu. 

Vijana hao ambao ni Bilal Masudi  ndaro mwenye umri wa miaka kumi na saba, Juma Kitsao Kazungu mwenye umri wa miaka kumi na nane na kenga Ramadhan masha mwenye umri wa miaka kumi na tisa wanadaiwa kupigwa risasi hapo jana na maafisa wa polisi. 

Kulingana na familia za marehemu wawili wa vijana hao walikuwa wanafanya biashara ya kuuza nguo za mitumba na watatu alikuwa mhudumu wa boda boda. Familia za marehemu zinataka haki itendeke.

.
RELATED VIDEOS