×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ripoti ya upasuaji ya mwendazake Sharon Otieno yasubiriwa

7th September, 2018

Kifo cha Sharon Otieno ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Rongo, kinaendelea kuibua maswali mengi, huku ripoti ya upasuaji ikiwa inasubiriwa na wengi kuona iwapo itajibu baadhi ya maswali kwa sasa tunaungana na mwanahabari wetu Kevin Ogutu kutoka uyugis kaunti ya HomaBay anatuarifu yanayojiri kwa sasa. 

.
RELATED VIDEOS