×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya gofu ya wanawake wa Tanzania yapokelewa Dar es Salaam

6th September, 2018

Timu ya Gofu ya wanawake wa Tanzania imepokelewa jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka washindi wa pili katika mashindano ya kombe la chalenji ya Afrika kwa mchezo wa gofu wanawake uliohusisha nchi kumi na nane (18) yaliyofanyika kati ya Agosti 29 na Septemba 4 mwaka huu mjini accra ghana ambapo nafasi ya kwanza ilichukuliwa na afrika kusini.

Timu hiyo ya tanzanja yenye wachezaji wanne pia imetoa mchezaji bora Afrika wa mashindano hayo anayeitwa Madina Iddy na Tanzania itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo mwaka 2022.

.
RELATED VIDEOS