×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Pamela Adhiambo alivutia mashabiki wengi kutokana ueledi alioonesha

4th September, 2018

Licha ya umri mdogo alionao, Pamela Adhiambo alivutia mashabiki wengi kutokana ueledi alioonesha katika mashindano ya ubingwa wa voliboli afrika, ambapo aliisaidia kenya kumaliza katika nafasi ya tano. Ila kutokana na maumbile yake wengi walidhani ana jinsia tofauti, jambo lilomkera. Mwanahabari mwenza kelvin kimathi alipata nafasi ya kumhoji na hii hapa kauli yake.

.
RELATED VIDEOS