Anne Waiguru: Ushuru wa VAT utawaumiza Wakenya wengi

KTN News Sep 03,2018


View More on KTN Mbiu

Magavana kutoka eneo la Mlima Kenya wametaja ushuru wa asilimia kumi na sita ambao umepelekea bei ya bidhaa za mafuta kupanda, ni wa juu sana na utawaumiza Wakenya wengi.