Mirindimo: Hassan Joho, William Ruto na siasa za 2022
31st August, 2018
Katika miridimo mbunge William Chepkut anyenyekea mbele Naibu Rais William Ruto naye Gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho alisisitiza kuwa ni sharti wezi wa mali ya umma wachukuliwe hatua kali.