Watu 4 na wafariki na wengine 8 wajeruhiwa katika ajali ya barabara Salgaa

KTN News Aug 31,2018


View More on Dira ya Wiki

Watu wanne wafariki na wengine nane wajeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabara iliotokea hii leo asubuhi eneo la sobea karibu na Salgaa kaunti ya Nakuru.

Mkuu wa polisi wa eneo hilo amesema kua dereva wa matatu alitoroka lakini msako mkali umeanzishwa kumtafuta.