31st August, 2018
Hospitali kuu ya kenyatta imekanusha madai kuwa ilikosa kuwajibika na kusababisha kifo cha mwanamke mmoja. Kwenye video iliyosambaa mitandao ya kijamii, mwanamke mmoja anadai kuwa hospitali ya kenyatta ilitepetea kwa wajibu wake jambo lililosababisha kifo cha mamake mwanamke huyo. mary muoki anaarifu zaidi.