×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameafanya maandamano mjini Mombasa

30th August, 2018

Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameafanya maandamano mjini mombasa kuadhimisha siku ya kuwakumbuka waathiriwa na watu wanaotoweka katika mazingira ya kutatanisha. Maandamano hayo yaliyofanyika kutoka  bustani ya uhuru hadi kituo cha polisi cha urban yameongozwa na shirika la haki africa pamoja na familia za watu waliotoweka.

.
RELATED VIDEOS