Wafula Chebukati: Hatuna afisi kwa makamshina waliojiuzulu

KTN News Aug 27,2018


View More on KTN Leo

Hatuna nafasi kwa makamshina waliojiuzulu. Hayo ndio yaliyokuwa matamshi ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC, Wafula Chebukati, baadaya ya makamishna consolata maina na margret mwachanya kufanya jaribio la pili kurejea kazini baada ya kutangaza kujiuzulu kwao miezi minne iliyopita.